Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Makungwi wa JF, Evelyn Salt, Sky Eclat, Mama Terry, Miss Natafuta, FaizaFoxy, Paloma, Demiss, miss chagga na wengine wengi, sioni mkiandika mada zenye kuokoa ndoa, na za kumfanya mwanamke akae kwenye position yake kama anavyofanya Irene Mbowe?
Wanaume wengi tunasoma mabandiko yake, tunayafurahia, tunatamani na wenzi wetu wawe wenzi bora kama afundishavyo Irene Mbowe.
Mshikaji wangu Arushaone, General Galadudu, ndyoko, Kiranja Mkuu na wengine wengi tunagongana sana kwenye machapisho ya Irene.
Hebu Makungwi wa JF kazeni msuli mfikie standards ambazo tayari Irene Mbowe kisha zi set