huyu binti tangu alipoOlewa haya magazeti ya marangi marangi hasa ya Shigongo yalianza kuandika habari zake tena mbaya tuu. yaani si rahisi ipite wiki hawana habari zake. Biblia inakataza na inasema NDOA iheshimiwe na watu wote. kama hamkuwa na la kusema kabla ya ndoa yake, baada ya ndoa fyata mkia.huwa naudhika sana kusoma habari mbaya za huyu binti kila Gobal publishers inavyotoa gazeti.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.