Irene Paul

Pumzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2013
Posts
321
Reaction score
55
Jamani nampenda kimapenzi huyu dada wa bongo movie

Mwenye mawasiliano naye, historia yake pia kwakua naamini atakua mama wa watoto wangu.

Nisaidieni Jamani
 
Attachments

  • IRENE.jpg
    52.1 KB · Views: 1,132
Ukihitaji mabinti wa bongo movie unamtafuta Stive Nyerere?...
 
kama una kisu kirefu mfuate, ila mwenzio anaishi na mwanaume japokuwa sio wachumba wala hawajafunga ndoa so kama unahisi upo vizur financial mtafute steve nyerere atakufanyia mpango

ndugu yangu nisaidie hata mawasiliano yake tu
 
kama una kisu kirefu mfuate, ila mwenzio anaishi na mwanaume japokuwa sio wachumba wala hawajafunga ndoa so kama unahisi upo vizur financial mtafute steve nyerere atakufanyia mpango

pesa siyo tatizo...vipi ana skendo za ajabu?
 
Angekuwa na scandal kil siku ungekuwa unamsikia humu, hana mambo ya ajabu sema tu hapend kuyumbishwa kama akina mama ubaya, na kama unajiona sharobaro bas kaa nae mbali, uwa she does nt entertain ujinga kabisa
 
Warumi nahisi wewe utakua msaada wangu kufanikisha ndoto zng aisee....na nikafanikisha utafurahi mwenyewe
 
Mtafute steve nyerere, kuwadi aliyekubuhu kwenye ukanda huu wa Afrika mashariki na kati.

Au amtafute aunty bilali, maana yule jamaa ni shidaaa anawatafutiaga mastaa wa bongo wanaume wa maana sio wanawake wala wanaume, yani ujanja wa mastaa sijui akina wema,lulu,kajal na wengine upo kwa huyu bilali, yani anawauza hadi china
 
Kwahiyo Aunt Bilal ukuwadi wake umetukuka duniani hakuna mfano wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…