Irene Paul

Irene Paul

Mmh mnavyonipa mizigo aiseeh, mm hii biashar ya ukuwadi siiwezag kabisa kwanza unaanzaje, hiko kipaji mi sina



Hahaaaaa....Binamu changamkia fursa ya private Jet wana Jukwaa la Celebrity tuwe tunapigia Picha aiseeeee
 
Angekuwa na scandal kil siku ungekuwa unamsikia humu, hana mambo ya ajabu sema tu hapend kuyumbishwa kama akina mama ubaya, na kama unajiona sharobaro bas kaa nae mbali, uwa she does nt entertain ujinga kabisa
Hapo panaposema ujinga more clarification pls.........
 
Kama una kisu kirefu mfuate, ila mwenzio anaishi na mwanaume japokuwa sio wachumba wala hawajafunga ndoa so kama unahisi upo vizur financial mtafute steve nyerere atakufanyia mpango
hivi wewe ndio yule warumi uliyekuwa segerea sijui, manake watu humu ndani waliwashikia mamoderetor mabango ya kutosha, ili tu uachiwe, sifa zako nimeziskia mzee, naskia unauwezo wa kupika ubuyu wenye kiwango cha hali ya juu.
 
Back
Top Bottom