warumi tu atapewa private jet wewe malkia sijui utapewa nini kamata fursa dina lol
ana nyodo sana nlisoma nae secondary
Halaf mi utaninulia nini sasa! !!!??
Huyo Tanmo antulie binamu yangu Dinazarde, akatafute uko jukwaa la chit chat
Warumi nahisi wewe utakua msaada wangu kufanikisha ndoto zng aisee....na nikafanikisha utafurahi mwenyewe
Binamu warumi unataka kupewa kazi ya steve nyerere aiseeeeeee
ana nyodo sana nlisoma nae secondary
Mmh mnavyonipa mizigo aiseeh, mm hii biashar ya ukuwadi siiwezag kabisa kwanza unaanzaje, hiko kipaji mi sina
Hapo panaposema ujinga more clarification pls.........Angekuwa na scandal kil siku ungekuwa unamsikia humu, hana mambo ya ajabu sema tu hapend kuyumbishwa kama akina mama ubaya, na kama unajiona sharobaro bas kaa nae mbali, uwa she does nt entertain ujinga kabisa
hivi wewe ndio yule warumi uliyekuwa segerea sijui, manake watu humu ndani waliwashikia mamoderetor mabango ya kutosha, ili tu uachiwe, sifa zako nimeziskia mzee, naskia unauwezo wa kupika ubuyu wenye kiwango cha hali ya juu.Kama una kisu kirefu mfuate, ila mwenzio anaishi na mwanaume japokuwa sio wachumba wala hawajafunga ndoa so kama unahisi upo vizur financial mtafute steve nyerere atakufanyia mpango
Kwahiyo Aunt Bilal ukuwadi wake umetukuka duniani hakuna mfano wake.