Irene Uwoya Abadili Dini Sasa kuitwa Sheila.

Kama ni ndoa kweli hongera zako Bi Sheila isije tu ikawa kiki ya movie!! hahah hamshindwi
 
Bongo movie hawaaminikagi..hata Wolper kalijidai kamebadili dini kipindi yupo na Dallas,jamaa alipofulia akarudia dini yake ya awali kama kawa....

Ila kwa hawa madada wa mjini ni vigumu sana kuishi maisha ya kiislam...uislamu si dini ya mchezo mchezo,inahitaji committment sana hasa kwa mwanamke.masharti ni mengi mno hasa katika suala la kujistiri maungo n.k! Sasa huyu mtembea uchi cjui kama atayaweza hayo maisha kwa kweli.
 
JAMAA kama anatokea ile nxhi ipo karibu na mpakani na kagera. kwa yule jamaa mwembamba
 
Yaani kumbe si wanasiasa tu wanaocheza na akili za waTz.
Hata Bongo movie nao wanacheza na akili zetu.

Siamini hata chembe;
Refer, Wema, Shishi, n.k. waoane tu.
 
dah huyu boya kaniwahi .. nilikua na nia ya kuchukua huyu muremboooooo...
 
Huwa Ana matako mazuri huyu Dada makubwa na lainiii,hili lijamaa chumban litafaid pamoja na shida litakalopata kwenye masuala ya tabia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…