Irene Uwoya Abadili Dini Sasa kuitwa Sheila.

Irene Uwoya Abadili Dini Sasa kuitwa Sheila.

Hakuna ndoa hapo dada jonah huyo sheila huwa anapenda sana makiki na mapicha picha

Mara anapenda wanaume wenye sur mbaya

Mara hapend mwanaume mwenye pesa


Mara anagombea ubunge

Kaona hasikik kaona aje na kiki ya kama ile ya JOSE KAMILION ya kunadilisha din ijumaa then jumapili anaibuka tena kanisan na kudai alikosea njia

Kaona hiyo kiki haitosh kaongeza na ya kufunga ndoa

Hawa bongo move toka baba yao STEVE KANUMBA atutoke wamekuwa vichekesho kweli kweli
Ngoja tusubiri,labda ndoa ipo kweli
 
VYUMA VIMEKAZA WANAAMUA KUOLEWA TENA.Hahahaha magu bana punguza kidogo mzee
Wanaume wa Jf sijui mko vipi kila kitu mnaponda. Tusipoolewa ooh magubegube yaliyoshindikana na mtume, tukiolewa vyuma vimekaza. Hebu jitahidini kupambana na hali zenu aisee
 
Back
Top Bottom