Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Huyu dada anapenda makiki sijawah onaAaafu huyu si alitakaga kufungua kanisa wakati fulani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu dada anapenda makiki sijawah onaAaafu huyu si alitakaga kufungua kanisa wakati fulani
Ngoja tusubiri,labda ndoa ipo kweliHakuna ndoa hapo dada jonah huyo sheila huwa anapenda sana makiki na mapicha picha
Mara anapenda wanaume wenye sur mbaya
Mara hapend mwanaume mwenye pesa
Mara anagombea ubunge
Kaona hasikik kaona aje na kiki ya kama ile ya JOSE KAMILION ya kunadilisha din ijumaa then jumapili anaibuka tena kanisan na kudai alikosea njia
Kaona hiyo kiki haitosh kaongeza na ya kufunga ndoa
Hawa bongo move toka baba yao STEVE KANUMBA atutoke wamekuwa vichekesho kweli kweli
Yap alisemaga anapenda wanaume wenye sura mbayaNdio anaowapenda
We mwanaume unasema anasura mbaya mwanaume mwenzio unataka mwanaume mzuri akufanyeje?Huyo mwanaume ana sura mbaya kama hamorapa maana wewe dada yetu sheila huwa hupend wanaume wenye sura nzur
Ila tu isije kuwa unacheza move za ray na stev kanumba
Hahahhaha hili jina lako ni la watu wa Tanga!!Shepu bomba miguu fito!!
Mtani mbona kamam vile umepaniki??Mwenzio haangalii miguu ameona uso kwa sababu husalimii miguu ya mtu. Natamani niione miguu ya mkeo Dah!
Kabsa meku!Hahahhaha hili jina lako ni la watu wa Tanga!!
Watani zangu wachaga, hii miguu yenu vipi??
Alikataa kubadili dini hapa ilibidi jamaa single church
Ngoja wakusikieWanawake wa ' Kichagga ' kwingine kote wanafanikiwa sana tu ila sijui ni kwanini wengi wao ( 99.9% ) Miguu yao ni ' Milonjo ' mitupu.
Umenifanya nirudi juu kuangalia. Ina kasoro gani?Watani zangu wachaga, hii miguu yenu vipi??
Wanaume wa Jf sijui mko vipi kila kitu mnaponda. Tusipoolewa ooh magubegube yaliyoshindikana na mtume, tukiolewa vyuma vimekaza. Hebu jitahidini kupambana na hali zenu aiseeVYUMA VIMEKAZA WANAAMUA KUOLEWA TENA.Hahahaha magu bana punguza kidogo mzee
Mtani mbona kamam vile umepaniki??
Salaa ndo nani?Hahaha Salaa anatafuna huyu mtoto vibaya mno na Range kampa
Silent oceanSalaa ndo nani?