Ukiwa na hela huna budi kula vitu vizuri,sio mambo ya ruge na kale kazamaradiYeah man anatifua sana huyo mtoto na pia kile ki demu kilikuwa na kina bdozen kwenye kipindi cha XXL akaacha kazi kwa mbwembwe
niliona mahojHakuna ndoa hapo dada jonah huyo sheila huwa anapenda sana makiki na mapicha picha
Mara anapenda wanaume wenye sur mbaya
Mara hapend mwanaume mwenye pesa
Mara anagombea ubunge
Kaona hasikik kaona aje na kiki ya kama ile ya JOSE KAMILION ya kunadilisha din ijumaa then jumapili anaibuka tena kanisan na kudai alikosea njia
Kaona hiyo kiki haitosh kaongeza na ya kufunga ndoa
Hawa bongo move toka baba yao STEVE KANUMBA atutoke wamekuwa vichekesho kweli kweli
NDIKUMANA ALIRUDI BURUNDIAlimvuruga sana Ndikumana wa watu hadi mpira ukamshinda
Hio hio miguu ndio alioipendea huyo bwana wakeWatani zangu wachaga, hii miguu yenu vipi??
Nyie dawa yenu ni kuvaa uso wa chui, wanawake nyie ni nyoka aisei..Hivi kumbe ni kweli?mi nilijua wapo katika shooting ya movie
Kwanini bigmind?Nyie dawa yenu ni kuvaa uso wa chui, wanawake nyie ni nyoka aisei..
Mnaudhi sana..! Mko too materialism..! Nitakuja niwatembezee u...ooo mpk mkome atakaye zaa atajijua.Kwanini bigmind?
Best luck kuwatembezeaMnaudhi sana..! Mko too materialism..! Nitakuja niwatembezee u...ooo mpk mkome atakaye zaa atajijua.
Haya asanteBest luck kuwatembezea
Mwanamme hasifiwi sura, inawezekana ana sura mbaya ila ana benki account nzuri itasawazisha sura ionekane nzuri tu.Huyo mwanaume ana sura mbaya kama hamorapa maana wewe dada yetu sheila huwa hupend wanaume wenye sura nzur
Ila tu isije kuwa unacheza move za ray na stev kanumba
KwakweliWanaume wa Jf sijui mko vipi kila kitu mnaponda. Tusipoolewa ooh magubegube yaliyoshindikana na mtume, tukiolewa vyuma vimekaza. Hebu jitahidini kupambana na hali zenu aisee
kuoa mwanamke mzuri ni matatizo akichelewa kurudi nyumbani wasi wasi kibao ukisafiri huku nyuma mawazo kibao wanaume wajanja wanaoa wanawake wa kawaida tu wanawake wazuri wanakuwa michepukoKweli we ni mwisho. Yaani hata ungekuta domo ka choo kwako hujali bora anajua kupika wali mchambuko?? We noma aisee. Miye hajui kupika ila ukifika sebuleni hutamani aondoke bali umwangalie tu uso wake
kuoa mwanamke mzuri ni matatizo akichelewa kurudi nyumbani wasi wasi kibao ukisafiri huku nyuma mawazo kibao wanaume wajanja wanaoa wanawake wa kawaida tu wanawake wazuri wanakuwa michepuko
Inaweza kuwa kweli. Maana hizo picha si za maandalizi kama inavyoonyesha.Ndoa chini ya carpet inasemwa ishafungwa Ila ijumaa mambo yatakuwa wazi mbivu na mbichi Itajulikana
Inashangaza sana kumkosoa mwanaume mwenzio mwonekano wake.We mwanaume unasema anasura mbaya mwanaume mwenzio unataka mwanaume mzuri akufanyeje?