Irene Uwoya Abadili Dini Sasa kuitwa Sheila.

Irene Uwoya Abadili Dini Sasa kuitwa Sheila.

Kuolewa raha ila kama ukimpenda mtu unakua unaukalia muda wowote na sio mpaka kuutafuta ,,wema vipi ndoa chali mpaka leo
 
Hakuna ndoa hapo dada jonah huyo sheila huwa anapenda sana makiki na mapicha picha

Mara anapenda wanaume wenye sur mbaya

Mara hapend mwanaume mwenye pesa


Mara anagombea ubunge

Kaona hasikik kaona aje na kiki ya kama ile ya JOSE KAMILION ya kunadilisha din ijumaa then jumapili anaibuka tena kanisan na kudai alikosea njia

Kaona hiyo kiki haitosh kaongeza na ya kufunga ndoa

Hawa bongo move toka baba yao STEVE KANUMBA atutoke wamekuwa vichekesho kweli kweli
niliona mahoj
Alimvuruga sana Ndikumana wa watu hadi mpira ukamshinda
NDIKUMANA ALIRUDI BURUNDI
 
Huyo mwanaume ana sura mbaya kama hamorapa maana wewe dada yetu sheila huwa hupend wanaume wenye sura nzur

Ila tu isije kuwa unacheza move za ray na stev kanumba
Mwanamme hasifiwi sura, inawezekana ana sura mbaya ila ana benki account nzuri itasawazisha sura ionekane nzuri tu.
 
Sallaah vepee maana mpaka tattoo kachorwa Alaf ndoa Pierre Maajabu mengine bhana
 
Kweli we ni mwisho. Yaani hata ungekuta domo ka choo kwako hujali bora anajua kupika wali mchambuko?? We noma aisee. Miye hajui kupika ila ukifika sebuleni hutamani aondoke bali umwangalie tu uso wake
kuoa mwanamke mzuri ni matatizo akichelewa kurudi nyumbani wasi wasi kibao ukisafiri huku nyuma mawazo kibao wanaume wajanja wanaoa wanawake wa kawaida tu wanawake wazuri wanakuwa michepuko
 
kuoa mwanamke mzuri ni matatizo akichelewa kurudi nyumbani wasi wasi kibao ukisafiri huku nyuma mawazo kibao wanaume wajanja wanaoa wanawake wa kawaida tu wanawake wazuri wanakuwa michepuko

Kwa nini ukubali kuchukua kitu ambacho roho yako haitakishiba?? Hii ndio inaleteleza michepuko na magonjwa ya kufisha. Oa yule ambaye wajua ndio bora kuliko wengine uliowahi kuwaona. Utulivu wa mwanamke una yeye mwenyewe. Sio kwamba wazuri wote ni vicheche. No kicheche ni nature ya mtu.
 
Soko la Filamu za Tz limeshuka sana. hasa hizi series kwa shs 1000 tu. Ni namna ya kutafuta kipato uchumi umeshuka jamani!
 
Biashara ni kuzifuata fursa zilipo,mshik dini huyo hahongi bila ndoa. Kwa hiyo huyu mkuu kaamua akomae na ka-smell ka ng'onda au bado hajaona ndani ustaadh hadi uchomwe ubani?
 
Back
Top Bottom