Irene Uwoya Abadili Dini Sasa kuitwa Sheila.

Irene Uwoya Abadili Dini Sasa kuitwa Sheila.

Aaafu huyu si alitakaga kufungua kanisa wakati fulani
huyu atakuwa anampamba mjomba huyo demu anamsimamo sana wa kidin ukristo nampata vizuriii sana tena na kuokoka alikuwanako kuna kitu anamtega huyo mjomba chunguza
 
Mambo yote ijumaa
huyo kwenye kipengele cha kuama din ni muongo anamzuga huyo mjomba coz aliokoka na hata fb kurasa zake ni maneno ya din tu so huyo lazima kuna kitu anakinyemelea utaskia tu wameachana baada yada fulan na demu karudi kwenye din yake
 
Hakuna ndoa hapo dada jonah huyo sheila huwa anapenda sana makiki na mapicha picha

Mara anapenda wanaume wenye sur mbaya

Mara hapend mwanaume mwenye pesa


Mara anagombea ubunge

Kaona hasikik kaona aje na kiki ya kama ile ya JOSE KAMILION ya kunadilisha din ijumaa then jumapili anaibuka tena kanisan na kudai alikosea njia

Kaona hiyo kiki haitosh kaongeza na ya kufunga ndoa

Hawa bongo move toka baba yao STEVE KANUMBA atutoke wamekuwa vichekesho kweli kweli
Bora Lulu atutikwe mvua za kutosha! Maana hasara ya kumuua kanumba ni kubwa sana kwa jamii
 
Back
Top Bottom