Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Mambo yako poa sana km ilivo kwako!!.Nipo safi chief, mambo vp!
Umepotea au mm ndo nmepotea??? Shem hajambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo yako poa sana km ilivo kwako!!.Nipo safi chief, mambo vp!
Sijaiangalia kabisa[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ebu niambie basi
Umeona eenhHizo ni mbwembwe tuu hakuona lingine zaidi ya hiyo tattoo binadamu bwana!!
Hahaha kwanini sasa haujaangalia na wewe ndio boss wangu wa mbSijaiangalia kabisa[emoji23] [emoji23]
WoooiUmeona eenh
Nimeona uduwanzi tuu, haina haja kuangalia kiki za kipuuzi.Hahaha kwanini sasa haujaangalia na wewe ndio boss wangu wa mb
Si bora mwezi, inaweza ikawa miezi.Woooi
Tena utakuta hawajawasiliana zaidi ya mwezi
Na kweli, mpaka yule mkaka sijui nani ndo awe na marehemu mpaka dk za mwisho wadada walikuwa wapi?;Si bora mwezi, inaweza ikawa miezi.
Aaaaf atakua katumia ina kuchorea kesho inafutika kama alieza kuigeuza ya ndikumana kuwa ua ndo atashindwaje ya agnesUmenenena mkuu watu wanapenda kuonekana wema ama maarufu wakati matendo yanaongea zaidi ya mbwembwe
Wanaleta maigizo mpaka kwenye misiba, wakipewa nafasi waigize kwenye bongo movie wanatuektia jambaz kavua viatu, shubamiit.Na kweli, mpaka yule mkaka sijui nani ndo awe na marehemu mpaka dk za mwisho wadada walikuwa wapi?;
Leo hii wanajiliza na tattoo juu!!
basi tuseme tumepoteana chief hahaha,Mambo yako poa sana km ilivo kwako!!.
Umepotea au mm ndo nmepotea??? Shem hajambo
HahahaWanaleta maigizo mpaka kwenye misiba, wakipewa nafasi waigize kwenye bongo movie wanatuektia jambaz kavua viatu, shubamiit.
Unitagi....Aliyeangalia hiyo video ataniambia