Tetesi: Irene Uwoya afunga ndoa na Dogo Janja?

Tetesi: Irene Uwoya afunga ndoa na Dogo Janja?

Status
Not open for further replies.
Kaolewa mke wa pili na jamaa mmoja hivi mwarabu ana hela zake nyingi(uwoya kachora tattoo ya jina la jamaa mgongoni). Maskin ndiku mmmh dini alibadilishwa enzi ana pesa kafulia kala mtoso mkali na kubambikiwa mtoto juu
Kwanin hongera anapewa dogo janja?
 
Nahisi bimkubwa hajatoa ruhusa ya kuletewa mke mwingine au ni masharti ya bwana harusi so uwoya akaona bora amweke dogo janja kuziba maneno mengi

Tutakomaje kwa showoff maana siku hizi kila mdada anataka kuwa bosslady
Weka basi picha ya huyo salsa sijui nani tumuone
 
Siyooo kwa mademuu wa Bongooo...!! Yanii hivypo vihela vya show siku mbili tatu hapa anaona anawezaa mmiliki Uwoyaa..!??? Haa ha ha ha... Kwelii Magufulii kakazaa aisee... watuu wanafanya namna wapate japoo ugali wa mchnaa siku ziendee... Ndo yalee ya Nuh mziwanda kupigwaa makofii...huyu atachapwaa.bakoraa kabisaa
 
Weka basi picha ya huyo salsa sijui nani tumuone
22794187_805438672960505_6948518676970602496_n.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom