Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...kuna jicho gani lingine broo???..huyo mwanadada jicho (la usoni) lake tu..daaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jicho la kiarabu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...kuna jicho gani lingine broo???..
Uwoya amedai hajawahikuachana na mumewe Ndikumana ila hawapo pamoja kwa sababu ya mwanaume huyo yupo busy na kazi
Pia amesema hamjui Harmo rapa zaidi ya kumsikia mitandaoni na watu wamekuwa wakimuuhusisha nae baada ya kusema anapenda wanaume wenye sura mbaya
Amesema pia hatoki na dogo janja kama anavyodaiwa na anamuona kama mwanae wa kumzaa sababu ni mdogo sana
Hajawahi kutoka kabisa na Diamond