Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Mmmmm, Kazi ipo.........Wanataka kuurudisha umaarufu wao kwa kutumia maneno ya nguvu
Uwoya ndoa ishamshinda atulie , kama ye anayajua vizuri mbona ndikumana kammwaga
mkosaji tu huyu....
Mwenyewe nliiona longi labda inkuwa updated kama antivirus...Mbona hii story yazamani sana? au bifu lao linaibuka kila mwaka over the same issue????
Mwenyewe nliiona longi labda inkuwa updated kama antivirus...
Uwoya amchana live mpenzi wa Flora Mvungi i.e H-baba kwamba hafai katika mapenzi kwa sababu hana stamina katika uwanja wa 6 kwa 6. Flora Mvungi naye akaja juu na kudai kwamba maneno ya Uwoya ni maneno ya mkosaji na akadai zaidi kwamba H-baba hana tatizo katika mapenzi na yuko fiti ile mbaya.
Wakati malumbano yakiendelea,dada mmoja akapiga simu clouds fm,akakataa kutaja jina lake lakini naye akazidi kuchagiza kwamba H-baba si lolote si chochote katika ulingo wa ma-lovey dovey,ana mbwembwe za kukata viuno jukwaani tu.Haya ndio mapenzi ya ma-star wa ki-bongo.
Hii ndio kazi ya hapo Dar, leo yamekua haya wakati kipindi chote alichokua nae alikua ANAMPANULIA MIGUU yake....Dah sa sijui tumuamini nani kati yao.