Irene Uwoya Aingia Katika Bifu na Frola Mvungi Baada Ya Kusema H-baba Hajui Chochote Katika 6 Kwa 6

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Uwoya amchana live mpenzi wa Flora Mvungi i.e H-baba kwamba hafai katika mapenzi kwa sababu hana stamina katika uwanja wa 6 kwa 6. Flora Mvungi naye akaja juu na kudai kwamba maneno ya Uwoya ni maneno ya mkosaji na akadai zaidi kwamba H-baba hana tatizo katika mapenzi na yuko fiti ile mbaya.

Wakati malumbano yakiendelea,dada mmoja akapiga simu clouds fm,akakataa kutaja jina lake lakini naye akazidi kuchagiza kwamba H-baba si lolote si chochote katika ulingo wa ma-lovey dovey,ana mbwembwe za kukata viuno jukwaani tu.Haya ndio mapenzi ya ma-star wa ki-bongo.
 
Mmmmm, Kazi ipo.........Wanataka kuurudisha umaarufu wao kwa kutumia maneno ya nguvu
 
Uwoya ndoa ishamshinda atulie , kama ye anayajua vizuri mbona ndikumana kammwaga
mkosaji tu huyu....
 
haya tumesikia hana lolote 6*6
sasa tukufanyeje wewe irene?
 
Uwoya ndoa ishamshinda atulie , kama ye anayajua vizuri mbona ndikumana kammwaga
mkosaji tu huyu....

Mbona hii story yazamani sana? au bifu lao linaibuka kila mwaka over the same issue????
 
Uwoya amchana live mpenzi wa Flora Mvungi i.e H-baba kwamba hafai katika mapenzi kwa sababu hana stamina katika uwanja wa 6 kwa 6. Flora Mvungi naye akaja juu na kudai kwamba maneno ya Uwoya ni maneno ya mkosaji na akadai zaidi kwamba H-baba hana tatizo katika mapenzi na yuko fiti ile mbaya.

Wakati malumbano yakiendelea,dada mmoja akapiga simu clouds fm,akakataa kutaja jina lake lakini naye akazidi kuchagiza kwamba H-baba si lolote si chochote katika ulingo wa ma-lovey dovey,ana mbwembwe za kukata viuno jukwaani tu.Haya ndio mapenzi ya ma-star wa ki-bongo.

Hii ndio kazi ya hapo Dar, leo yamekua haya wakati kipindi chote alichokua nae alikua ANAMPANULIA MIGUU yake....Dah sa sijui tumuamini nani kati yao.
 
Back
Top Bottom