Irene Uwoya Ajianika Akipigwa Massage Kwa Kukandwa Mgongo

Irene Uwoya Ajianika Akipigwa Massage Kwa Kukandwa Mgongo

Ibrahim300

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
390
Reaction score
68


MAKUBWA! staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe amejianika akifanyiwa masaji laivu. Wolper a.k.a Gambe ‘alifanya yake' ndani ya saluni (massage parlor) moja iliyopo maeneo ya Mwenge jijini Dar. Mara baada ya tukio hilo huku akiwa ‘amefotolewa mapicha' ambayo aliyatundika kwenye ukurasa wake wa Instagram, mwanadada huyo alielezea jinsi alivyohisi raha ya ajabu wakati akifanyiwa masaji.

"Asante…(akitaja jina la saluni), kwa raha niliyopata leo…, mi siyo mchoyo kwa kweli karibuni nanyi mpate afya. Nimefurahia walah," aliandika Wolper. Hata hivyo, tukio hilo liligeuka gumzo huku baadhi ya mashabiki wakimsifia na wengine wakimponda.

Imetolewa: bkuHABARI
 
Kwani uongo ni kweli sio mchoyo kumbe anajijuaa!!!!!!!
Edit basi hapo juu umeandika Irene Uwoyaa
 
Bila shaka huyu ni Jackline Wolper na sio Irene Uwoya kama alivyosema mleta Mada.
 
kichwa cha habari na habari yenyewe tofauti.njoo taratibu mkuu utajikwaa bure.km ni picha utawahi kuzifikisha tu wa kwanza
 
Spidi za nini unachanganya majina......
 
Ulikuwa unakimbilia wapi mkuu?

Huyo ndo binti uwoya???
Tokea lini???
 
Heading inasema Uwoya habari inasema Wolper
 
jaman waniajili hapo saloon nitafanya kazi ya kujitolea kwa juhud zote na overtime wasinilipe!
 
Back
Top Bottom