Irene uwoya akimbizwa hospital baada ya kupoteza fahamu.

Au siyo....!!!
 
Mkuu hakuna kitu ambacho adui yako anakifurahia kama KIFO.,UPATE MATATIZO,, nk....kinachofanyika ni matokeo ya KAULI NA KUMMALIZIA MANENO NDIKUMANAH....sasa INERE akili zimemrudia,,,anakumbuka huyo aliyemtolea maneno ya kashfa ni mzazi mwenzie,,na ndy baba wa mtoto wake,,,sasa ATAINGIAJE MSIBANI?ATAWATAWATAZAMAJE NDUGU WA NDIKUMANAH?.,,akaamua kuja na style ya KUZIMIA...mkuu si kila anayezimia msibani kaguswa na msiba ,,,,, UWOYA anapataje uchungu hadi kupoteza fahamu kwa mfano..... KILIO CHA ADUI YAKO KWENYE MSIBA WAKO NI SHEREHE.....utanichukiaje nikiwa hai uje unipende nikiwa mfu?
 
Hawa wasanii hata kwenye movie wanazimia usiwajali san
 
Ha ha ha gelofriend, kuna clip moja ya wakuvwanga (mama imma) na masanja, yani mama kumpokea tu mwanae from safari kafurahi hadi kalala chini ha ha ha wanyaki bana
hahahaHAHAHAMwl umenikumbusha hii clip nilicheka sana tena aiseeeee daaa
Kuna watu kulia na kuzimia ni sifa kwao hili waache historia....... watu wana sahau kulia na kuzimia hakupangwi unaweza usilie lakini ukabaki na kidonda kikubwa kuzidi walio lia hadi kuingia kaburini hili na wao wazikwe.........
 
Ile clip huwa nacheka sana, yani huwa narudia rudia kuicheki
 
Sana tena vijijini kuzidi mkiwa msibani kwanza wananzengo wanaangalia nani analia sana nani halii sana kwa kelele

Wao mwenye uchungu ni yule anayelia kwa vurugu na manenoo mfano"Munguuu nichukue na Mimi,jamaniiii"



Hahahahahah hapo umeua kbs mkuu,na kama hulii sana wanakuchukulia hatua gan mkuu?
 
Hajawah kumpenda kabla na baada ya ndoa sasa kinachomliza nini??au ndio machoz ya furaha hayo??anafurahia talaka ya milele mxiuuuuuu
huyu irene inaonekana atakuja kufunga harusi nyingine ya kikristo coz mjomba alikuwa kama anamziba vilee coz aling'ang'ania sana talaka ambapo kikristo ni kutengana tu hamuachani nyie mtasikia tu ila hako katoto kanaona kama kamependwa kumbe???
 

Unafiki kiwango cha lami mkuu,umeshindwa kumpenda akiwa hai utawezaje kumpenda akiwa mfuu!!...
 

Naungana na mawazo yako 100%.......Umeongea ukweli mtupu......Hongera sana!!
 
Yo right Heaven Sent mishyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…