Stella Njimbwi
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 882
- 575
Kwl kabisa ilo ni funzo kwetu tuliyodunianiUnafiki kiwango cha lami mkuu,umeshindwa kumpenda akiwa hai utawezaje kumpenda akiwa mfuu!!...
Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwl kabisa ilo ni funzo kwetu tuliyodunianiUnafiki kiwango cha lami mkuu,umeshindwa kumpenda akiwa hai utawezaje kumpenda akiwa mfuu!!...
Kuna watu hata hujui uwaiteje, ruthless? disrespectful? ignorant? immature? kuachilia mbali klichotokea baina yao kama wanandoa, Mungu aliwapa mtoto, a bond non of them could break. Kweli mnashindwa kuheshimiana kwa ajili ya mwanenu? Yaani hii mitandao mbona imetufanya malimbukeni hivi jamani! Binafsi ni karibuni tu ndo nilipata kusoma mabandiko ya Katauti mitandaoni baada ya ile 'ndoa' ya bidada na janjaro! Yaani jamaa aliukuwa anajikaza kiume, one could sense that he wasnt ok! Anyways yeye kafunga ukurasa wake kazi kwa tuliobaki. Alafu juzi watu wanamlaumu Hamisa kwa kumwombea kheri Lulu! Ndo kama hivi...majuto ni mjukuu!Thamani ya mtu uliyemtesa na kumnyanyasa kwa namna yoyote ile huonekana pale mtu huyo anapokufa.
Sitaki kumuhukumu Irene lakini vitendo alivyokuwa anavifanya vinaweza kuwa kichocheo cha kifo cha huyu bwana.
Sikutarajia kumuona akilia kwa uchungu hivi. Alitakuwa kufahamu mapema kuwa anamsababishia maumivu makubwa mwenzie.
Tukumbuke kuwajali wale waliopo kwenye maisha yetu.
Mishyu too mpendwa.Yo right Heaven Sent mishyu
[emoji1] [emoji1] mnaonekana Hamna uchungu Mmemla nyama ndugu enuHahahahahah hapo umeua kbs mkuu,na kama hulii sana wanakuchukulia hatua gan mkuu?
Sio hivyo wanaume wengiwao wa R na B huwa wananuiaKibongo bongo hadi ulie kama mnyakyusa upige mayowe, ugale gale chini, uzimie ndo hapo ndo umeguswa....