Irene uwoya akimbizwa hospital baada ya kupoteza fahamu.

Kuna watu hata hujui uwaiteje, ruthless? disrespectful? ignorant? immature? kuachilia mbali klichotokea baina yao kama wanandoa, Mungu aliwapa mtoto, a bond non of them could break. Kweli mnashindwa kuheshimiana kwa ajili ya mwanenu? Yaani hii mitandao mbona imetufanya malimbukeni hivi jamani! Binafsi ni karibuni tu ndo nilipata kusoma mabandiko ya Katauti mitandaoni baada ya ile 'ndoa' ya bidada na janjaro! Yaani jamaa aliukuwa anajikaza kiume, one could sense that he wasnt ok! Anyways yeye kafunga ukurasa wake kazi kwa tuliobaki. Alafu juzi watu wanamlaumu Hamisa kwa kumwombea kheri Lulu! Ndo kama hivi...majuto ni mjukuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…