Irene Uwoya anafanya kazi gani?

Irene Uwoya anafanya kazi gani?

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Wakuu kwa kipindi kirefu nimekuwa nikimfuatilia huyu Mrs Janjaro ili nijue chanzo chake cha mapato ni nini haswaa maana nimemfuatilia weeee nimeambulia patupu nimeona nije kuwashirikisha humu wanajamvi huenda nikapata muangaza kidogo kuhusu wapi anapopata pesa zake.

Kwa kipindi cha hivi karibuni Uwoya mara kwa mara tunamuona akizunguka nchi mbalimbali huku akifanya kufuru kubwa ya pesa na pia wiki hii jumapili iliyopita kwenye Biko Jibebe Challenge tulimshuhudia Uwoya akimwaga mijipesa kwa mashabiki kama hana akili nzuri vile , na kama hiyo haitoshi Irene pesa zinamuwasha sana siku hizi , mara atume vocha za elfu kumi kumi za kila mtandao kuanzia Tigo, Voda, Halotel, TTCL, Airtel nk .

Pia juzi katoa ofa ya kuwauliza watu wanataka nini kutoka kwake ambapo kundi kubwa la watu walijitokeza na kumuomba mitaji ya biashara ba Uwoya bila hiyana akawapatia , na hatujakaa vizuri akatoa post IG akitaka watu wataje vitu saba wanavyovijua kutoka kwake ambapo mamia ya watu walijitokeza kutaja hivyo vitu na Irene akachagua washindi watatu ambao ataenda nao kula bata katika hotel zenye nyota tano kwa muda wa wiki moja na zoezi hilo kasema litakuwa endelevu kila mwisho wa mwezi, Sasa swali linabaki
Irene Uwoya anafanya kazi gani inayomuingia mijipesa yote hiyo au ni kweli anamegwa kisela na Diamond Platnumz??


ireneuwoya8-20180912-0001.jpg
 
hii tabia ya kutaka kujua watu wanafanya nini maishani naona kama inatukwamisha sana,sasa ukiishajua then itakusaidia nini katika maisha yako ya kila siku mkuu?kama unakwama hivi,daah!
Kipato chake hakilingani na maisha anayoishi.

Ikiwezekana serikali imtazame kwa umakini mkubwa huenda muuza dawa za kulevya huyu binti.
 
Huyo ni mjumbe wa nyumba kumi Kule Tabora acha ale bata
 
We mleta Uzi ulimjuaje?? Sidhani kama ulizaliwa unalijua jina lake hivyo basi ulikomjulia ndo huko huko anakopatia fweza
 
Back
Top Bottom