Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
- #21
Ipi hiyo?anafanya kazi ngumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipi hiyo?anafanya kazi ngumu
kazi ngumuIpi hiyo?
Bila kusahau kubadilisha nyumba za kupanga kukicha! 😡Anaduka lake anatembea nalo
Sasa kama mtoa post ni askari kapewa jukumu la kumchunguza Uwoya kwa nyendo zake kutokana na tuhuma za kuuza nganda, hapa ndio kaona pa kuanzia uchunguzi wake.hii tabia ya kutaka kujua watu wanafanya nini maishani naona kama inatukwamisha sana,sasa ukiishajua then itakusaidia nini katika maisha yako ya kila siku mkuu?kama unakwama hivi,daah!
Mambo ya kike.Kipato chake hakilingani na maisha anayoishi.
Ikiwezekana serikali imtazame kwa umakini mkubwa huenda muuza dawa za kulevya huyu binti.
😂😂😂😂 alikuwa head of ICT wizara ta katiba na sheria bwana pia aliwahi kuwa wizara ya fedha... ila kustaaf amestaafia wizara ya katiba na sheriaBaba yake mzee Pancras ni rubani mstaafu.
Ndio zao hawa kufake maisha.We ngoja hapo apate uvimbe tu wa kufanyiwa upasuaji India....utaona tunavyoanza kuombwa kuchangia.....
Hawanaga maana hawa viumbe, wanajifanya wapo vema kumbe loooooh nyuma ya pazia ukweli anaujua MUNGU...
Kumbe ana share pale. Nazidi kumpenda bure.Ana bar iko sinza ana share pale jaim store!!!
Basi anastahili maisha anayoishi aiseekwa kukusaidia tu...... kwao wamezaliwa wawili yeye na mdogo ake wa kiume
alafu pia kwao ni wazito/pesa
mzee pancras uwoya kastaafu last yr alikuwa mkuu wa kitengo cha tehama wizara ya sheria na katiba
mama ake ni naibu mkurugenzi wa mipango na bajeti pale wizara ya ardhi (kwa lukuvi)
plus irine ni mtoto wa kike na ni mzuri pia (if u know wat i mean)
but all in all she is just a go getter money talks n daddy pay yeye alitaka kuchange ndinga haendi yard wala showroom anaenda kwao