Irene Uwoya anafanya kazi gani?

Irene Uwoya anafanya kazi gani?

hance Mtanashat

Huyo dada mzuri ila anajianika mno. Utamu wote unaisha. Isitoshe yeye sasa ni kongoro saa mbili kasoro!
 
Katika mastaa wanaoniumiza kichwa kujua kazi zinazowaingizia mpunga mrefu ni huyu mwanadada Irene Pancras Uwoya.


Kiukweli ingawa Irene Uwoya ametokea katika familia ya kitajiri lakini utajiri wake unanipa mashaka mno.

Kwenye miaka miwili mitatu ya hivi karibuni amekuwa na pesa chafu lakini nikipeleleza pesa amezipatia wapi ninashindwa kuelewa kabisa .


Inafika pahala ninashawishika huenda amepata mali za urithi kutoka kwa marehemu Ndikumana lakini bado haiingii akilini, nikisema labda pengine pub yake ya last minute ndiyo inayompa jeuri ya fedha bado hainiingii akilini.

Rai yangu serikali ianze kumchunguza huyo binti pesa anazozichezea chezea anazipatia wapi maana isije ikawa anafanya biashara ya madawa ya kulevya kichini chini halafu ile pub ikawa kama geresha tu.



images.jpeg
 
Serikali tuna mambo mazito na makubwa nchi hii ya kuyashuhulikia kwa sasa, hujaona waraka wa comrade kinana wewe, tuache mambo mazito kama hayo tuanze kufatilia upuuzi
 
hivi wewe unakazi nyinyi ndo mnaologa watu kisa maendereo yake unataka akuelezee namna anavyo pata pesa zake ili iweje kumbuka young killer aliimba kuaafanikio ni kama chupi jamaangu akuanikie yake nje au ulishaona mtu kafua nguo ya ndani harafu kaanika njee peupe?
 
Nakajua haka, homey G toka enzi.
Kwnza wakshua, 2nd sjui nseme mzuri tho better words ana extra attractiveness h,ukiwa mwanaume kamili libido lazma mkuu,and kwa background status yake ,lazima awe na connection na rich ballers kids au fathers in business au pleasure.
 
Acha wivu....
Usishindane na mwanamke.....
Hjui kma Kuna watu wanawekeza Hela hapo...... Sjui umenielewa
Na ukiambiwa anayeruka hpo utashangaa

Ova
 
Back
Top Bottom