warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Sexy Mama kutoka kwenye kiwanda cha bongo movie , Irene uwoya, amerudi rasmi kwenye page yake ya Instagram , baada ya kuwa kimya kwa takriban Mwaka mzima huku akidai account yake kudukuliwa na hackers , hivi sasa amefanikiwa kuipata account yake na karudi kama ifuatavyo