Irene Uwoya awachamba watangazaji wa xxl na mashabiki wanaomfuatilia

Irene Uwoya awachamba watangazaji wa xxl na mashabiki wanaomfuatilia

Kila mbuz at kul kw urfu wa kmba yke..!! zamu y dogo xaxa... kexh kutw zam y jamaa wa dubaii anaenda kujxhindia...
 
Niko bar hapa nasubiria ipande kichwani nianze kutamani wahudumu mkuu
 
Ile yule jamaa wa Dubai vipi !!!!!!!!!!!!!!

Dogo anashea mzigo kipoa kabisa
 
Hakuwachamba ila sema alikuwa anajibu kwa kujiskia sana na maringo mengi
 
Back
Top Bottom