Ile manzi ipo poa sana ,ila dogo janjq anafaidi sana aisee
Daaaaa! Wengine sijui tupo Dunia ya waaapi! Huyo Uwoya, hataa simjui. Naomba japo ka- picha ili nijiridhishe na hizi sifa za uzuri mnazompa.Dogo akija kuacha na huyo mrembo atakuwa kapoteza kifaa Uwoya mzuri.
Hahahahahaaa wakianza kuishi kwa matumaini msije kumchamba mseme hivyo hivyo anafaidi.ila dogo janjq anafaidi sana aisee
Anafukuzana na baharia na pole poleHuyu Adam mchomvu naona kama kila Sikh anazidi kuwa mtoto tu!....yeye ni kizazi kipya cha milele!
Jifunze kuandika vizuri kiswahili weweKila mbuz at kul kw urfu wa kmba yke..!! zamu y dogo xaxa... kexh kutw zam y jamaa wa dubaii anaenda kujxhindia...
watu wa hivi nawashangaa sana..Radio anasikiliza Magufuli..wewe naniiiUnasikilizaga radio mkuu,hongera sana
kwani kuna kipi cha zaidi anachofaidi hapo zaidi yako au mm niliyeko na kuku wa kienyeji wa kingoni mkuuila dogo janjq anafaidi sana aisee
Sio kidogo. Irene mzuri kama helaila dogo janjq anafaidi sana aisee