Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
HahahahaNdio maana hata kwenye uigizaji ni hovyohovyo tu
Ha ha haaaaaaa duUkweli mchungu.
Ndio maana Ray anajichubua ili achubuliwe
Tunakunywa maji ili tuwake kama taaHa ha haaaaaaa du
Hivi watu mnanini lkn
Bongo movi kujihushisha na mambo ya kisiasa imewaaribia sana kimapatoHii huenda ikawa ni sababu kubwa hawa jamaa wanajiingiza kwenye madawa ya kulevya.
Inauma sana kuigizia kwenye nyumba za kifahari na maisha ya juu wakati kiuhalisia una hali tete. Ndio maana inabidi wajiliwaze kwa mihadarati