halloperidon
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 2,096
- 5,254
Bongo movie ilikufa baada ya kanumba kufa hamna jipya tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaa hatariiiTunakunywa maji ili tuwake kama taa
Hahaha..Ndio maana hata movie zao utaona mtu ameigiza kama zombie halafu anakula mchicha badala ya nyama sijui hata hela ya kununua nyama hawana, haya jini unakuta amevaa t-shirt ya Liverpool jamani sasa movie hizo nani atashawishika kutoa pesa mfukoni na kununua.
Jina la filamu mkuubongo movie bwana!! Jana nimetazama film yao moja, mwigizaji akawa anakumbuka tukio la miaka 20 iliyipita (tukio la kumbukumbu huwa wanaweka picha ya black and white) cha ajabu kwenye hilo tukio la miaka 20 ilopira akainekana MTU amevaa jezi ya mesi wa barcelona