Irene Uwoya: Bongo movie hatuna hela, magari na nguo huwa tunaazima na hatuna raha kuwa wasanii

bongo movie bwana!! Jana nimetazama film yao moja, mwigizaji akawa anakumbuka tukio la miaka 20 iliyipita (tukio la kumbukumbu huwa wanaweka picha ya black and white) cha ajabu kwenye hilo tukio la miaka 20 ilopira akainekana MTU amevaa jezi ya mesi wa barcelona
 
Hyu mtangazaji nae anamuhiji kwa kujing'ata ng'ata kama anamtaka vile
 
Naskia ukitaka hata kujipigia kuna madalali wao maeneo ya mwananyamala kule, kuanzia 200k unapiga
 
Halafu mnashirikiana na Bashite kupinga movies za nje watu wasinunue bali wanunue movies uchwara zenu. Pumbafu kabisa!
 
Hahaha..
 
Jina la filamu mkuu
 
Vimuvi vyenyewe ni vile vile tuu vya mapenz na kuibiana idea we unategemea kuna biashara hapo?
 
Alitumie dildo lake vizuri kwa mr kithembe mambo yatamnyookea tu
 
Ajira nzuri kwa mwanamke ni ya kuolewa na kutunza familia, haya mengine mnayoyang'ang'ania yanawapotezeeni muda tu mtakuwa shituka jua limesha zama ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…