warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Licha ya umaarufu mkubwa aliyonao,wingi wa filamu alizokwishashiriki pamoja na zile alizotengeneza mwenyewe,achilia mbali uwezo wa wazazi wake wanaoishi mbezi beach dar,lakini super star kiwango nchini irene uwoya,tofauti na mtazamo wa watu wengi wanaomsikia ama kumuona mtaani akitanua na mikoko mbalimbali na kuonekana viwanja kibao akila bata,lakini mpaka leo hii hajawahi kuthubutu kumiliki mkoko wake,yote anayotanua nayo ni ya kukodisha au kuazima kwa rafiki zake.