Irene Uwoya mjamzito

Irene Uwoya mjamzito

Jestina

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
4,828
Reaction score
1,712
ni mjamzito??!

hongera kama kweli.:redfaces:
 
he yaone vile???mnapenda tu kumnanga dada wa watu humu kila kukicha na mavazi yake,leo kawa mjamzito fans wake tunafurahia hii habari njema kwake,nyie mnajidai kununa!?!...wachawi wakubwa nyie!:tape:
 
acha umbea....utasutwa....
 
Mimba jambo la heri tena ndani ya ndoa anastahili pongezi za kutosha,,, ila Hilo swala la kuwa anatukalia uchi tusiache kumsema cause yeye ni mama mtarajiwa sasa, ya nn kupanic
 
he yaone vile???mnapenda tu kumnanga dada wa watu humu kila kukicha na mavazi yake,leo kawa mjamzito fans wake tunafurahia hii habari njema kwake,nyie mnajidai kununa!?!...wachawi wakubwa nyie!:tape:

We usiye mwanga ushapata mimba, au we mtaalam wa kuzitoa?
 
kujishaua tu kuwa nyie sio wambea ilhali wambea wa kutupwa,mie kupata mimba inakuhusu nini wewe chakubimbi?
 
Matusi ya nini sasa? mi nimekuuliza we unatukana....niaje chalii?

Sasa Irene kupata mimba we inakuhusu nini?
 
mie ni fan wake kama walivyo wengine,kama hujapenda kusikia hizo good news zake ungepotezea tu sio kuleta mashauzi hapa....by the way she is celebrity,kuna watu wangependa kujua habari zake na hii habari inawahusu,unlike me sio celebrity mambo yangu hakuna wa kutaka kuyajua,sawa kijana?????:bored::bored:
 
Si umeona, ungejibu kistaarabu hivi haya yote yasingetokea.....wengine hatumjui huyo Irene, so lazima tuulize, sawa dada?
 
hakuna haja ya tetesi mimba haifichwi tutaiona...
 
Safi sana. Wahenga walisema: Mficha uc** hazai. Sasa Ndi****na (bwana'ake Irene) ameshafunga goli kwa staili ya tiktaka! Tuwaombee mema🙂
 
Back
Top Bottom