Irene Uwoya mjamzito

Irene Uwoya mjamzito

Sidhani kama kuna ubaya kwa jambo hili kwa kiumbe wa kike.
 
chei chei shangazi....ukiwa utaelewa nilikuwa naamanisha kitu gani..sawa eeh..usilieee
he kwa hio hapa zinawekwa issue za kushangaza tu????tuma salamu basi?
 
jamani ivi huwa hatuna kazi mimba yake we inakuhusu nini:bored:
 
Nyie mbona mnamshambulia saaly.
Onh! Anaacha kujadili mambo ya maana wakati nyie wenyewe mmecomment.
Acheni hizo, mtoa mada hajatumia lugha mbaya kwahyo kama mada hujaipenda potezea.
 
Jamani hawa si ndio macelebrity wenyewe wa bongo au? Kama ana mimba nampongeza kwa kweli maana the so called mastaa wa kike hapa bongo wengi sijui hawapendi kuzaa au ni nini..hawana watoto. Kila kheri.
 
Back
Top Bottom