Irene Uwoya mjamzito

ni mjamzito??!

hongera kama kweli.:redfaces:

Acha utumwa wewe...sasa ujauzito wa huyo Irene unakusaidia nini? watu msio na kazi na vyakufanya mnagundulika kirahisi sana....Rubbish.
 
Acha utumwa wewe...sasa ujauzito wa huyo Irene unakusaidia nini? watu msio na kazi na vyakufanya mnagundulika kirahisi sana....Rubbish.

sasa ukishanigundua kirahisi sina kazi,then what???unanipunguzia au kuniongezea nini mie...wacha kuongea mapumba yako hapa!!!:angry:
 
HTML:
sasa ukishanigundua kirahisi sina kazi,then what???unanipunguzia au kuniongezea nini mie...wacha kuongea mapumba yako hapa!!!:angry:
 
Hii sredi inachekesha sana.....

kama ni kweli ni mjamzito hongera zake.
 
ujauzito sio ugujwa ni swala la heri hongera:israel:
 
cha ajabu hapa ni kitu gani? kwani yeye sio mwanamke wa kawaida na kupata mimba ni jambo la kawaida? au yeye ni ajabu sana kwake kupata mimba kwa vile hana viungo vyote vya uzazi?....mim sijaona issue ya kushangaza hapa....otherwise ni majungu tuu...kupata mimba na kutopata ni makubaliano ya wanandoa na pia majaaliwa ya muumba wetu.
 
he kwa hio hapa zinawekwa issue za kushangaza tu????tuma salamu basi?
 
kujishaua tu kuwa nyie sio wambea ilhali wambea wa kutupwa,mie kupata mimba inakuhusu nini wewe chakubimbi?

He!! mbona wapapatika sana vip! Utafikiri wamwagiwa maji ya moto.. !!
 
Irene uwoya ndo nani? wengine hatumjui, tufahamishe tafadhwali
 
Irene uwoya ndo nani? wengine hatumjui, tufahamishe tafadhwali

Ni Victoria Bekham wa Tanzania, our Spice Girl, ha ha ha!! Watu bana, kwani mimba ugonjwa au baraka kwa mama yeyote yule? Ni yule mke wa mchezaji wa toka huko sijui Rwanda au Burundi, khaa yaani sikumbuki maana not influential kiasi hicho kwangu!!
 
he yaone vile???mnapenda tu kumnanga dada wa watu humu kila kukicha na mavazi yake,leo kawa mjamzito fans wake tunafurahia hii habari njema kwake,nyie mnajidai kununa!?!...wachawi wakubwa nyie!:tape:

we kweli juha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…