Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Irene Pancras Uwoya kiukweli ni mzuri na mastaa wengi wa kike na wakiumw huwa wanampa sifa yake ya uzuri ila tuseme ukweli kabisa bila kung'ata maneno ,Tunda ni mzuri mara kumi ya huyo Uwoya sema ndio hivyo Tunda hana shobo shobo za hovyo kama huyo Uwoya.
Tunda ni mzuri jamani daaaaah.
Tunda ni mzuri jamani daaaaah.