Irene Uwoya mzuri ila Tunda ni mzuri zaidi

Irene Uwoya mzuri ila Tunda ni mzuri zaidi

Uso kajipaka madudu huyo sio halisi ni feki
 
IMG_20181017_213118_548.jpg

Siwaamini hawa viumbe wa Instagram
 
Hance mtanashati nina wasiwasi na Jinsia yako,hata kama hili ni celebrities forum ila sio uanaume kuleta thread zako za kikuda kikuda
 
Mleta mada ukome kumlinganisha Uwoya na vitakataka.
 
Kuna siku nilimuona yaan hana uzuri wowote ..... ana mwili mbaya kalegea legea halafu anaongea kwa kudeka basi watu wakawa wanamuona kama zezeta
Huwa ana takko flani kama kiroba cha unga limekaa vibaya, ila sura anayo
 
Back
Top Bottom