Irene Uwoya na bodyguard mpya

Irene Uwoya na bodyguard mpya

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Jamani jamani huyu shoga angu nae anapenda mambo makubwa, sasa irene kutembea na bodyguard kila sehemu ndio nini ? Kwa lipi sasa jaman ? , na hao akina k-Lynn mke wa billionea atembee na nani? , yani mastaa wa bongo kupenda kujikweza akili zenyewe kichwani zero mxieew , Mo dewji mwenyewe na utajir wake wa Ma billion lakin humkuti na body guard hovyo , labda Ana sehemu maalumu tu.

Sasa shoga wewe Jana tu kwenye kikao cha wasanii mpaka uambatane na mwarabu fighter mxieew utadhan umeambiwa unataka kutweka na sijui utekwe kwa lipi, mbaya zaidi swaga irene uwoya huna , upo kama ng'ombe, unajikuta princess Diana mwenyewe hovyoo ebu tupishe huko.

Yani hawa mastaa hela za kudanga zinawazuzuaga, akili ya kufanya mambo ya maana hawanaga, uwoya kawa staa mwaka wa kumi sasa , alichofanya cha maana Hana zaidi ya kupiga picha za uchi , na wewe sikuchambi una bahati kwenu kidogo zipo , Ila ndo akili ikue , irene unajua bado Lina akili za kitoto ndio maana likaenda kulala na dogo janja mxiew
 
Umesema bodyguard wake ni mwarabu?
mwambie asimuache akae nyuma yake
 
Hivi mbona watanzania tunapenda sana kuingilia maisha ya watu tusiojua hata wamehangaika vipi kufikia hapo walipo??
Endelea kumjua uwoya kama actress hayo mengine muachie yeye mwenyewe...mxeeeuw!
 
Back
Top Bottom