Irene Uwoya na Dogo Janja wazidi kudhalilishana

Irene Uwoya na Dogo Janja wazidi kudhalilishana

toka miaka ile Dogo janja anamsumbua Madee, haendi shule anakesha night club, na mrembo mmoja jina la kwanza nimelisahau ila la pili alikua anaitwa Fabian.Alikua miss Swahili kitu kama hicho.Wahenga wenzangu mtaniweka sawa kwa hili, nilitegemea dogo kuibuka na MKONO WA NYANI maana ile kasi ya kutembeza gegedo kwa waliomzidi umri, ma sister du wa mjini msingi kiuno.
 
Huyu Irene Uwoya mpaka aje kupata mtu wa kumuoa itakuwa kazi kweli hapa Bongo maana ana sifa mbaya sana na wanaume. Kila mwanamme aliyelala naye anamsanifu kuanzia Diamond, Kanumba, Dogo Janja, na wale wanaomla kwa mkopo ili akithi mahtaji yake ya kila siku wanamchora tu. Laana kajipa mwenyewe kumtesa Ndikumana, hatoweza tena kupata mwanamme wa ukweli labda atokee fala tu asiyejitambua toka huko Mwanza vijijini au Rombo maporini na meno ya kuoza. Mastaa wa kibongo ni fak mno, hawana issue hata kidogo. HAKUNA staa wa maana hapa Bongo, never.....wote wako useless tu.
 
Katika kitu ambacho Irene Uwoya anakijutia na ataendelea kukijutia katika maisha yake ni kukubali kumvulia kufuli dogo janja, wengi sana tulimuonya tangu awali lakini alijifanya kuziba masikio na kutomsikiliza mtu, ona sasa wamemwagana wanaanza kudhalilishana.

Dogo Janja amemshambulia vikali Irene Uwoya aache kufake maisha ,aache kujifanya anapesa kumbe choka mbaya na badala yake amemshauri aongeze bidii kwenye utafutaji wa pesa na sio maigizo anayoyafanya mtandaoni kujifanya anapesa nyingi hali ya kuwa hata ada tu ya mtoto wake inampa tabu kulipa mpaka achangiwe changiwe.

Uwoya naye akamrushia kijembe Dogo Janja kwamba muziki wa hiphop umemshinda ndiyo maana amehamia kwenye taarabu na pia sio riziki ndiyo maana anapenda banana, Uwoya alienda mbali zaidi kwa kudai mwanaume wa kweli hawezi kujinadi kwamba anapenda banana ,Dogo Janja si mwanaume halisi ndiyo maana anajitangaza wazi wazi kwamba anapenda banana.





View attachment 987615View attachment 987616View attachment 987617View attachment 987619

Sent using Jamii Forums mobile app
Wote wawili waitwe katika kamati ya maadili ya bunge ata kama ni kwa pingu.
 
Bado sijaona faida ya kumdhalilisha mtu uloachana nae. Au hawajui ukionyesha chuki kwa zilipendwa wako ndo anazidi kukukaa moyoni???
 
Back
Top Bottom