Irene Uwoya na Ndikumana wanaswa "LIVE" Airport

ni nani huyu aliye "wanasa" ???
viherehere vingine bwana....
 
Yaani hapo inaonesha kama Uwoya kaenda kuchukua pesa tu, halafu picha ya pili ndikumana anaonekama kama anambembeleza irene ila irene haelekei kuwa na mapenzi na jamaa, jamaa yupo tayari kuwa mume -----.
 

Namkubali huyo dada. Anaigiza vyema! Mtu akiwa star mambo yake binafsi huingiliwa sana. Ndio maana hata vitu kama ndoa kudumu ni nadra sana. Big up Irene!
 
ni nani huyu aliye "wanasa" ???
viherehere vingine bwana....

Uwoya anafahamika sana rwanda na congo, wanamuitaga queen wa bongo movie, uwa anashobokewa sana akienda uko, inshort anakimbiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…