Irene Uwoya na Tausi walala selo

Ketoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2015
Posts
1,117
Reaction score
1,966
Moja kati ya stori zilizosambaa katika mitandao ya kijamii leo kuhusiana na muigizaji Irene Uwoya ni stori ya kudaiwa kuwa alikamatwa na Polisi jijini Mbeya na kulazwa katika kituo cha Polisi Mbeya Mjini.

Irene na baadhi ya wasanii wengine akidaiwa kuwemo Mtanga na Tausi walikamatwa usiku wa Jumamosi ya September 22 kuamkia September 23 baada ya kukutwa Bar Mbeya wakiwa wamevuka muda wa bar kufungwa.

Kwa kawaida Bar inatakiwa kufungwa saa sita usiku ila wao walikamatwa na Polisi wakiwa wamevuka muda huo, kitu ambacho kiliwafanya walale ndani na kutolewa kwa dhamana jioni ya September 23, AyoTV imeongea na Fadhili Atiki ambaye ndio muandaaji wa shughuli
 
Mambo mengine yanayofanywa na dola hayana tofauti na kwenye nchi za ki-dikteta kwa kweli, yaani ya kipuuzi puuzi tu, huku ya maana hayafanywi, yakilenga kumnyima raia amani kwa kila jambo kwa kweli...
Inasikitisha kwa kweli..
 
Hivi hicho kimbilikimo kikilewa huwa kinakuaje?
 
Kwani kunywa hadi saa sita inakatazwa?
 
Kama walikuwa wanakunywa soda ni halali kuwekwa ndani ila kama walikuwa wanakunywa bia wameonewa walipa kod wanao jituma
Acha bia iitwe bia bna soda ukinywa mbili unaikojoa baada ya masaa6 ila bia ni ndani ya nusu saa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…