Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Wanakuvizia wakati wa kutoka kama simba akiwinda Nyati aliekimbilia kwenye bwawaOoooh kumbe! Basi kumbe kule ndo pakulia bata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanakuvizia wakati wa kutoka kama simba akiwinda Nyati aliekimbilia kwenye bwawaOoooh kumbe! Basi kumbe kule ndo pakulia bata
Wapi mkuu?Wanakuvizia wakati wa kutoka kama simba akiwinda Nyati aliekimbilia kwenye bwawa
Ukiingia kula bata kiota cha wajeda yaani mkoko wako uwe ndani eneo la tukio ukitoka unapiga hatua nne unaingia barabarani lakini kama ume-park mbali ile unapiga hatua kulifuata gari unasikia arooooooo kuja hapaWapi mkuu?
Si kwa msasani mkuu...huwa tunakesha pale sijawahi ona kitu kama hicho!Ukiingia kula bata kiota cha wajeda yaani mkoko wako uwe ndani eneo la tukio ukitoka unapiga hatua nne unaingia barabarani lakini kama ume-park mbali ile unapiga hatua kulifuata gari unasikia arooooooo kuja hapa
Halafi kinachofuata ni nini baada ya kulala selo?Ndio ukikutwa wateja na wahudumu mnalala selo
Nduguzo wanakuja kukutoa na midolaliHalafi kinachofuata ni nini baada ya kulala selo?
WENZETU KENYA UKIKAMATWA NA POLISI USIKU UKIWA UMELEWA/UNAKUNYWA POMBE, POLISI WANAKUSINDIKIZA MPAK NYUMBANI KWAKO WANAHAKIKISHA UMEINGIA KWAKO NDIO WANAONDOKAMoja kati ya stori zilizosambaa katika mitandao ya kijamii leo kuhusiana na muigizaji Irene Uwoya ni stori ya kudaiwa kuwa alikamatwa na Polisi jijini Mbeya na kulazwa katika kituo cha Polisi Mbeya Mjini.
Irene na baadhi ya wasanii wengine akidaiwa kuwemo Mtanga na Tausi walikamatwa usiku wa Jumamosi ya September 22 kuamkia September 23 baada ya kukutwa Bar Mbeya wakiwa wamevuka muda wa bar kufungwa.
Kwa kawaida Bar inatakiwa kufungwa saa sita usiku ila wao walikamatwa na Polisi wakiwa wamevuka muda huo, kitu ambacho kiliwafanya walale ndani na kutolewa kwa dhamana jioni ya September 23, AyoTV imeongea na Fadhili Atiki ambaye ndio muandaaji wa shughuli
Duuh...nilikuwa sijui!
Kule msasani club kwa wajeda tunakeshaga na Christian Bella sijawahi ona tunakamatwa!
hahaaaHivi hicho kimbilikimo kikilewa huwa kinakuaje?
hahaaa namimi nataka kujua AiseeHivi hicho kimbilikimo kikilewa huwa kinakuaje?
hahaaNduguzo wanakuja kukutoa na midolali
Gonga beer wacha uwoga...mlevi nanywaji si watu waoga hata kidogoDu afadhali nimeacha kunywa pombe. Tanzania ni unfriendly kwa walevi.
Ndo sheria hutakiwi kuuza bar au mteja kukaa baa zaidi ya saa tano usiku na siku za weekend mwisho saa sitaKwani kunywa hadi saa sita inakatazwa?
Wana leseni ya kukeshaDuuh...nilikuwa sijui!
Kule msasani club kwa wajeda tunakeshaga na Christian Bella sijawahi ona tunakamatwa!
Sheria inakataza kuuza vileo baada ya saa hizo, Sheria haikatazi kunywa baada ya saa hizo. Ilikuwa Ni uonevu na kinyume Cha Sheria.Moja kati ya stori zilizosambaa katika mitandao ya kijamii leo kuhusiana na muigizaji Irene Uwoya ni stori ya kudaiwa kuwa alikamatwa na Polisi jijini Mbeya na kulazwa katika kituo cha Polisi Mbeya Mjini.
Irene na baadhi ya wasanii wengine akidaiwa kuwemo Mtanga na Tausi walikamatwa usiku wa Jumamosi ya September 22 kuamkia September 23 baada ya kukutwa Bar Mbeya wakiwa wamevuka muda wa bar kufungwa.
Kwa kawaida Bar inatakiwa kufungwa saa sita usiku ila wao walikamatwa na Polisi wakiwa wamevuka muda huo, kitu ambacho kiliwafanya walale ndani na kutolewa kwa dhamana jioni ya September 23, AyoTV imeongea na Fadhili Atiki ambaye ndio muandaaji wa shughuli
Haikatazwi kinachokatazwa Ni kuuza vileo zaidi ya saa sita.Kwani kunywa hadi saa sita inakatazwa?
KinapakatwaHivi hicho kimbilikimo kikilewa huwa kinakuaje?