Irene Uwoya na Tausi walala selo

Wapi mkuu?
Ukiingia kula bata kiota cha wajeda yaani mkoko wako uwe ndani eneo la tukio ukitoka unapiga hatua nne unaingia barabarani lakini kama ume-park mbali ile unapiga hatua kulifuata gari unasikia arooooooo kuja hapa
 
Si kwa msasani mkuu...huwa tunakesha pale sijawahi ona kitu kama hicho!

Gari zenyewe walinzi wajeda
 
WENZETU KENYA UKIKAMATWA NA POLISI USIKU UKIWA UMELEWA/UNAKUNYWA POMBE, POLISI WANAKUSINDIKIZA MPAK NYUMBANI KWAKO WANAHAKIKISHA UMEINGIA KWAKO NDIO WANAONDOKA
 
Sheria inakataza kuuza vileo baada ya saa hizo, Sheria haikatazi kunywa baada ya saa hizo. Ilikuwa Ni uonevu na kinyume Cha Sheria.

Mara zote anayetakiwa kukamatwa Ni muuzaji na sio mnywaji.

Wafungue kesi ya madai kudai fidia kwa kunyimwa Uhuru wao bila uhalali wowote
 
Ndio maana mi nimeamua kunywa Gongo tu siku hizi. Mpaka majoo sisi tunakula nguvu kumeza tu, Polisi wakija Mama Muuza anawatoa kimtindo tunaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…