Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
anachuja?kwani kuzaa kunamfanya mtu anachuja au ndo anazidi kuwa mrembo jamani
kwani ww ndiye Ndikumana au sub?, maana kuchuja au kutochuja kutakusaidia nini?. Nijibu tafadhari.MUIGIZAJI Super Star katika tasnia ya filamu kwa hapa nchini Tanzania Irene Uwoya amebainisha kuwa pamoja na kuzaa mtoto wake wa Kiume lakini hategemei uzazi huu kumbadilisha uhusika na kuwa tofauti na alivyokuwa akiigiza awali, katika picha alizowahi kuigiza hapo awali, Irene ambaye ni mwenye furaha wakati wote amebahatika kujifungua mtoto wa kiume aliyempatia jina la Krish
umesomeka..........kwani ww ndiye Ndikumana au sub?, maana kuchuja au kutochuja kutakusaidia nini?. Nijibu tafadhari.
sio kweli...nakataa tena kwa asilimia miaanachuja?
basi itabidi matunzo na mazoezisio kweli...nakataa tena kwa asilimia mia
hapa umeongea,mazoezi ni jambo la msingi sana Ivuga watu tunapuuzia na kula vizuri sio kwa sababu umejifungua kila kinachopita pembeni unapeleka.basi itabidi matunzo na mazoezi
wewe ni nani?Jamani mwenye contact zake anisaidie! Niendeleze kipaji chake na amini ulaya,asia,mashariki ya mbali na marekani atajulikana!!!
Shosti ni kweli lakini mwanamke wa ktz asiponenepeana kitenge atavaaje?? unanisoma shostihapa umeongea,mazoezi ni jambo la msingi sana Ivuga watu tunapuuzia na kula vizuri sio kwa sababu umejifungua kila kinachopita pembeni unapeleka.
hahahahhaahhhahahha nakusoma Ivuga....haya bwana tuwaache na maunene yao wavae vitengeShosti ni kweli lakini mwanamke wa ktz asiponenepeana kitenge atavaaje?? unanisoma shosti
Ni muwezeshaji!wewe ni nani?
ana mume huyo atamuwezesha,weye kamuwezeshe Lulu anahitaji msaada wako wa hali na maliNi muwezeshaji!
si ungetafuta wamama wauza vitumbua uwawezeshe?Ni muwezeshaji!
wewe ni MPUMBAVU humu ndani sio lazima kuchangia kila post....unaweza kuanza zako huko..
Ni kweli ana mume lakini hana mwezeshaji!ana mume huyo atamuwezesha,weye kamuwezeshe Lulu anahitaji msaada wako wa hali na mali
Bahati imemdondokea wala usiweke kauzibe ndugu! We lete hizo contact ondoa wivu wa kijinga!!si ungetafuta wamama wauza vitumbua uwawezeshe?