Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
MUIGIZAJI Super Star katika tasnia ya filamu kwa hapa nchini Tanzania Irene Uwoya amebainisha kuwa pamoja na kuzaa mtoto wake wa Kiume lakini hategemei uzazi huu kumbadilisha uhusika na kuwa tofauti na alivyokuwa akiigiza awali, katika picha alizowahi kuigiza hapo awali, Irene ambaye ni mwenye furaha wakati wote amebahatika kujifungua mtoto wa kiume aliyempatia jina la Krish