Irene Uwoya tangu ampate mwarabu anayemiliki visima anaishi kibosi bosi sana

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Madam original Irene Pancras Uwoya huu mwaka wake kwa kweli maana duh anavimba sana mpaka wasanii wenzake wanatamani hata kumloga ili kumshusha chini na chanzo cha yote haya ni baada ya Irene kumpata huyu mwarabu anayeishi dubai ambaye anamiliki visima kadhaa vya mafuta .

Irene licha ya kuwa na yeye pia kwao si haba, ila kwa sasa amezidi kung'aa kifedha na ni kawaida sana kutumia zaidi ya laki tano kwa siku huku akiwa na wapambe kedekede kila anapoenda .

Ila ajiongeze bila hivyo atatumiwa kisha atatemwa kama big G ,inabidi amkamue haswa huyo jamaa ili wakisha achana awe angalau na yeye amechuma mali kadhaa.
 
Kumbe visima vya maji dili?
 
Dogo njanja hapo..
Dogo janja bana alikuwa ananichekesha akitamba airini kamfuata kwasababu ana mbookubwa.

Cha kustaajabisha Hakumridhisha kabisa airinii kwasabab nasikia airini alizoea vitu vikubwa ka mikono ya watoto wachanga "toddlers" akaona huu upuzi kwa janjaroo. Ila maskini kamuachia dogo mkono wa nyani

King Kong III
 

Dah, Dogo janja kumbe ana kibamia!!! Bwawa limemshinda.
 
Huyu jamaa anajua mambo ya watu balaa
 
hivi kuna mtu hua anaamini kua janjaro alioa hilo takax2!?
 
Sawa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…