Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Madam original Irene Pancras Uwoya huu mwaka wake kwa kweli maana duh anavimba sana mpaka wasanii wenzake wanatamani hata kumloga ili kumshusha chini na chanzo cha yote haya ni baada ya Irene kumpata huyu mwarabu anayeishi dubai ambaye anamiliki visima kadhaa vya mafuta .
Irene licha ya kuwa na yeye pia kwao si haba, ila kwa sasa amezidi kung'aa kifedha na ni kawaida sana kutumia zaidi ya laki tano kwa siku huku akiwa na wapambe kedekede kila anapoenda .
Ila ajiongeze bila hivyo atatumiwa kisha atatemwa kama big G ,inabidi amkamue haswa huyo jamaa ili wakisha achana awe angalau na yeye amechuma mali kadhaa.