[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Madame Ritta ndiye mdangaji ninaempa credits.
Dogo njanja hapo..
Hii ni nayo inahasara zake. Madem wamekuwa wananikimbia.Wanoko wanadai siyo ana kibamia bali airinii alizoea kubwengwa na mijitu yenye mijolobe mikubwa kaa mikono ya watoto wachanga "toddlers"
👇👇👇👇👇👇
View attachment 916610
Ila muarabu anafaidi aisee, Yani dada yetu Dah
Ha ha ha ha haDogo janja bana alikuwa ananichekesha akitamba airini kamfuata kwasababu ana mbookubwa.
Cha kustaajabisha Hakumridhisha kabisa airinii kwasabab nasikia airini alizoea vitu vikubwa ka mikono ya watoto wachanga "toddlers" akaona huu upuzi kwa janjaroo. Ila maskini kamuachia dogo mkono wa nyani
kingkong III
uko sahihiTanzania tumebarikiwa kwa hilo. Fikiria kule Karatu mpaka Babati wako wangapi ambao hata wanja hawaujui
maskini Irene ndo amefikia hukoIrene mzuri kwa mbali. Ukimkaribia ka bi kizee, mapaja ka mkate. Tko ka dodoki. Linazoa hata yenye takataka
Unamaanisha kuwa ni mdangaji na kichwani zimo!Madame Ritta ndiye mdangaji ninaempa credits.
HaswaaUnamaanisha kuwa ni mdangaji na kichwani zimo!
Hivi huyu mama ana mume na watoto?kuna kipindi nilisikia alikuwa karibu na Mr machahe!!!Madame Ritta ndiye mdangaji ninaempa credits.
Ana binti mkubwa tu mume hana. Alikuwa mali ya mzee Mengi alifanya kosa kumuonjesha wazuri jihana uroda mzee alibireka sana na kumbuka shost wa madam ambae sasa ni mrsHivi huyu mama ana mume na watoto?
Hawa mademu hawawezi kuwa na uhusiano wa mapenzi na mtu ambaye anaheshima zake haswa mfanyabiashara, hapo kakutana na mpiga dili na wanawake wanavyopenda kuwatambia wenzao anajiona kapata mmiliki wa visima, hivi mnaelewa visima vya mafuta havimilikiwi kama vile vya maji? Acheni kutuletea udaku usiofaaMadam original Irene Pancras Uwoya huu mwaka wake kwa kweli maana duh anavimba sana mpaka wasanii wenzake wanatamani hata kumloga ili kumshusha chini na chanzo cha yote haya ni baada ya Irene kumpata huyu mwarabu anayeishi dubai ambaye anamiliki visima kadhaa vya mafuta .
Irene licha ya kuwa na yeye pia kwao si haba, ila kwa sasa amezidi kung'aa kifedha na ni kawaida sana kutumia zaidi ya laki tano kwa siku huku akiwa na wapambe kedekede kila anapoenda .
Ila ajiongeze bila hivyo atatumiwa kisha atatemwa kama big G ,inabidi amkamue haswa huyo jamaa ili wakisha achana awe angalau na yeye amechuma mali kadhaa.View attachment 916545
hii code..ni ngumu,nimewaza majina mengi sana..ya madokta..Hata mkuu wetu wa wilaya Kisarawe
Nitatembelea huko siku mojaTanzania tumebarikiwa kwa hilo. Fikiria kule Karatu mpaka Babati wako wangapi ambao hata wanja hawaujui
Hio inaitwa mtoto akililia wembe mpehivi kuna mtu hua anaamini kua janjaro alioa hilo takax2!?