Irene Uwoya tangu ampate mwarabu anayemiliki visima anaishi kibosi bosi sana

Irene Uwoya tangu ampate mwarabu anayemiliki visima anaishi kibosi bosi sana

Dogo janja bana alikuwa ananichekesha akitamba airini kamfuata kwasababu ana mbookubwa.

Cha kustaajabisha Hakumridhisha kabisa airinii kwasabab nasikia airini alizoea vitu vikubwa ka mikono ya watoto wachanga "toddlers" akaona huu upuzi kwa janjaroo. Ila maskini kamuachia dogo mkono wa nyani

kingkong III
Ha ha ha ha ha
 
Mkuuu ulipo andika mwarabu nimejuwa ni yule Mwarabu fighter wa Dabriusibi
 
Wanadanga na watu wanamihela ila lamaana hawana zaidi ya kuvaa fake designer tu
Hongera zamu yake kuosha IG
 
Madam original Irene Pancras Uwoya huu mwaka wake kwa kweli maana duh anavimba sana mpaka wasanii wenzake wanatamani hata kumloga ili kumshusha chini na chanzo cha yote haya ni baada ya Irene kumpata huyu mwarabu anayeishi dubai ambaye anamiliki visima kadhaa vya mafuta .

Irene licha ya kuwa na yeye pia kwao si haba, ila kwa sasa amezidi kung'aa kifedha na ni kawaida sana kutumia zaidi ya laki tano kwa siku huku akiwa na wapambe kedekede kila anapoenda .

Ila ajiongeze bila hivyo atatumiwa kisha atatemwa kama big G ,inabidi amkamue haswa huyo jamaa ili wakisha achana awe angalau na yeye amechuma mali kadhaa.View attachment 916545
Hawa mademu hawawezi kuwa na uhusiano wa mapenzi na mtu ambaye anaheshima zake haswa mfanyabiashara, hapo kakutana na mpiga dili na wanawake wanavyopenda kuwatambia wenzao anajiona kapata mmiliki wa visima, hivi mnaelewa visima vya mafuta havimilikiwi kama vile vya maji? Acheni kutuletea udaku usiofaa
 
Back
Top Bottom