Irene Uwoya tangu ampate mwarabu anayemiliki visima anaishi kibosi bosi sana

Irene Uwoya tangu ampate mwarabu anayemiliki visima anaishi kibosi bosi sana

Huyu kapewa uzuri lakini akili hana..anafikiria maisha scripts za movie
 
Hivi ushajiuliza Dkt Machche akiwa anaomba usajili na kile kisauti chake mambo huwa vipi
Watu wa hivyo huwa hawaongei maneno mengi,Wanakuwepo wapambe/ masela wachuuzi /middlemen ambao wanapewa taarifa tuu Kuna kazi naitaji ndani ya wiki hii nimpate .....,au .... kazi kwako (nakuaminia zoezi lisiwe la muda mrefu please!).Bahasha pwaaa! Itacover logistics mbalimbali."make sure zoezi linakamilika kwa kificho na kwa uharaka"
 
Kwahio washenga ndo hukamilisha mission sio? Ha ha ila kuwa bilionea raha sana mzee we unajipigia tu kila anaevutia machoni na uzuri mademu huwa hawakatai mbegu za Don wanajionea kama kuna upako flani wataupata hata wasipoolewa!
 
Hivi wanawake wanaojiuza hua wana maendeleo kweli
 
Hivi wamiliki wa visima vya mafuta si ni uko wa kifalme tu....Hebu naomba mwenye kujua anitoe matongotongo

Ova
 
Tanzania tumebarikiwa kwa hilo. Fikiria kule Karatu mpaka Babati wako wangapi ambao hata wanja hawaujui
kule nimekaa mwaka.... nimewakula yaani mpaka basi.... na hawakatai... wazuri na uzuri wengi washamba kidogo hawajaliwa sana. Tz ni shida, Kenya wanabahat mbaya sana jirani zetu yaani kwao hamna kitu
 
Back
Top Bottom