Irene Uwoya unachomfanyia Mzee Majuto Mungu anakuona

Mkuu unatetea ushetani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haina chochote,roho mbaya tu. Hamtaki mwenzenu afanikiwe. Uwoya piga kazi. Picha za viongozi mbalimbali za Waafrika wakiwemo viongozi wa Mapinduzi ya Zanzibar(wengi Waislam) zipo baa za Samaki Samaki ambazo zinamilikiwa na kaburu,lakini watu kimya.
 
Kwahio mkuu wewe usiyekunywa pombe ndio utaenda mbingun??
Pombe has nothing to do with ushetani

Sent using Jamii Forums mobile app
Iyo ni kwamujibu wa Itikadi yako lakini ktika uislam pombe ni haramu

Rejea kwenye Quran

( يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِنَّمَا الْخَمْرُ وَالْمَيْسِرُ وَالْأَنصَابُ وَالْأَزْلَامُ رِجْسٌ مِّنْ عَمَلِ الشَّيْطَانِ فَاجْتَنِبُوهُ لَعَلَّكُمْ تُفْلِحُونَ )

المائدة (90) Al-Maaida

Enyi mlio amini! Bila ya shaka pombe, na kamari, na kuabudu masanamu, na kupiga ramli, ni uchafu katika kazi ya Shet'ani. Basi jiepusheni navyo, ili mpate kufanikiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
alafu iwe mwanzo na mwisho kufananisha pombe na ushetani...alaaaaaaaaaah vipi wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
( يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِنَّمَا الْخَمْرُ وَالْمَيْسِرُ وَالْأَنصَابُ وَالْأَزْلَامُ رِجْسٌ مِّنْ عَمَلِ الشَّيْطَانِ فَاجْتَنِبُوهُ لَعَلَّكُمْ تُفْلِحُونَ )

المائدة (90) Al-Maaida

Enyi mlio amini! Bila ya shaka pombe, na kamari, na kuabudu masanamu, na kupiga ramli, ni uchafu katika kazi ya Shet'ani. Basi jiepusheni navyo, ili mpate kufanikiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungesema toka mwanzo kwamba 'pombe kuwa haramu' ni imani yako na ningekuelewa mkuu..

Sasa wewe komaa na imani yako acha wengine tuendelee kuburudika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapa ndio nimekudharau kabisa....

baki na imani yako usitake kila mtu aishi kutokana na imani yako inavyotaka

pombe tunapiga na kitimoto tunakula and gues what? at the end of the day mimi na wewe wote tutakufa tu...

shubaaaamit
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haina chochote,roho mbaya tu. Hamtaki mwenzenu afanikiwe. Uwoya piga kazi. Picha za viongozi mbalimbali za Waafrika wakiwemo viongozi wa Mapinduzi ya Zanzibar(wengi Waislam) zipo baa za Samaki Samaki ambazo zinamilikiwa na kaburu,lakini watu kimya.
Kufanikiwa kwenyewe ndio kwa kuuza vitu Haramu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie huwa nawauliza, je tumeishasikia jambazi lolote likikamatwa linasingizia POMBE ndo imesababisha lifanye uhalifu kama wale wazinzi wanaoisingizia ili hali walitamaniana kabla ya kulewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…