Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,587
- 7,272
kweli kabisa ni uchochezi mtupu...maana ameshaanza kuleta nukuu za vitabuNdo maana nimemueleza huu ni UCHOCHEZI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli kabisa ni uchochezi mtupu...maana ameshaanza kuleta nukuu za vitabuNdo maana nimemueleza huu ni UCHOCHEZI.
Pombe inasingiziwa sana mkuu..Mie huwa nawauliza, je tumeishasikia jambazi lolote likikamatwa linasingizia POMBE ndo imesababisha lifanye uhalifu kama wale wazinzi wanaoisingizia ili hali walitamaniana kabla ya kulewa?
Dahhhhh.....Takbiiiiiiiir.
😂😂😂😂😂Mkuu kwani hyo picha inanyweshwa pombe?
Hahahah wafuasi wa mudi watanitoa nduki hapa hahah.Dahhhhh.....
Ebu malizia kabisa mkuu, ili nasi tujifunze Dini ya haki/Dini ya MnyaaziMngu
Mambo yenyewe ya msingi ndio pombe mkuu?Mkuu, ebu acha maskhara kwenye mambo ya msingi aiseeee....
Hahah Tuanzie hapo kwanzaIli tuendelee kujadili kwanza acha kufananisha pombe na vitu vya ajabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaaah hakuna uchochezi wowote mzeekweli kabisa ni uchochezi mtupu...maana ameshaanza kuleta nukuu za vitabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Uislamu unaendana sana na usabato..jana nilikua namwambia mtu betting ni haramu..hhhaa wacha aniambie kwenye bible hakuna pameandikwa bettn haramu...!Iyo ni kwamujibu wa Itikadi yako lakini ktika uislam pombe ni haramu
Rejea kwenye Quran
( يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِنَّمَا الْخَمْرُ وَالْمَيْسِرُ وَالْأَنصَابُ وَالْأَزْلَامُ رِجْسٌ مِّنْ عَمَلِ الشَّيْطَانِ فَاجْتَنِبُوهُ لَعَلَّكُمْ تُفْلِحُونَ )
المائدة (90) Al-Maaida
Enyi mlio amini! Bila ya shaka pombe, na kamari, na kuabudu masanamu, na kupiga ramli, ni uchafu katika kazi ya Shet'ani. Basi jiepusheni navyo, ili mpate kufanikiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
hapa ndio nimekudharau kabisa....
baki na imani yako usitake kila mtu aishi kutokana na imani yako inavyotaka
pombe tunapiga na kitimoto tunakula and gues what? at the end of the day mimi na wewe wote tutakufa tu...
shubaaaamit
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahah wafuasi wa mudi watanitoa nduki hapa hahah.
Hapana mkuu, pombe ni ushetani al khasus mujarab.
huyu jamaa anataka kutuvuruga tusimalize weekend vizur[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu umechafukwaaa
Wewe utakuwa mwehu kama wewe unaona pombe haramu ni wewe na Mingu wako usitake watu wote waamini unachotaka wewe.
Kuna watu wengine wanajifanyaga wqtakatifu kweli na hufanya madhambi sirini.
Sent using Jamii Forums mobile app